Sera za wagombea ni turufu kuu ya kushawishi wapigakura katika siku 20 za mwisho za kampeni. Hata hivyo, Mgombea Urais wa NLD, Doyo Hassan Doyo, amesitisha kampeni zake kutokana na mvua, huku akishindwa kunadi sera na ilani za chama chake katika maeneo mbalimbali Dar es Salaam.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *