Mgombea uraisi kwa tiketi ya CHAUMMA, Salum Mwalim amewaahidi wananchi wa Kigamboni kuwa endapo atachaguliwa kuwa Rais, vivuko na daraja la Kigamboni vitagharamiwa na serikali na wananchi wataruhusiwa kuvuka bure, kupunguza ugumu wa maisha.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *