Mgombe wa urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, amesisitiza kuwa atahakikisha mgao wa fedha za Zanzibar zinazotokana na muungano unasimamiwa vyema endapo atachaguliwa.
Othman ameyasema hayo kwenye mkutano wa kampeni viwanja vya Marumbi, Wilaya ya Kati.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi