Chama cha ACT Wazalendo kimezindua ilani ya uchaguzi kwa upande wa Zanzibar kwa mwaka 2025 – 2030, ikizingatia ukuaji wa uchumi, haki za binadamu, na kuinua ustawi wa jamii.
Uzinduzi huo umefanyika Unguja na mwenyekiti wa taifa wa chama hicho na mgombea urais Zanzibar, Othman Masoud Othman.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi