Mchambuzi wa Kimataifa, Pater Nusniyegira, ametoa angalizo kwa Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, kwamba anatakiwa kuangalia muundo wa taifa lake na jinsi ya kuubadilisha, ili aje na sera itakayowawezesha vijana kuimarika kimaisha na sio kukimbilia uteuzi wa waziri mkuu mpya wa serikali yake.

✍Nifa Omary
Mhariri | @abuuyusuftz

#AzamTVUpdates #MorningTrumpet #utv108

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *