Changamoto kubwa wanazopitia watumiaji wa mkaa wa kuni ni pamoja na vifo vinavyotokana na moshi. Katika kujua hilo kikundi cha Tujikwamue Kijana @pang.awe wamekuja na mkaa mbadala ambao unatatua changamoto ya uharibifu wa Mazingira unaotokana na ukataji wa miti hovyo
Mkaa huu wameutengeneza kwa kutumia mabaki ya miwa, hivyo kusaidia kulinda Mazingira na kuongeza soko la ajira
Usikose episode hii mpya ya Kijana Leo ili ujifunze kuhusu nishati mbadala.
Ijumaa – 10/10/2025
Saa 3:00 Usiku
Azam TV, UTV @utvtz @azamtvtz
#KijanaLeo
#JakayMrishoKikweteFoundation
#TransformingLives
#CatalysingCollaboration