
Mfalme wa Morocco atoa wito wa kufanyika mageuzi huku vuguvugu la vijana likisitisha maandamano
Vuguvugu la GenZ la Morocco linasema kuwa litasitisha kwa muda maandamano mwishoni mwa juma baada ya wiki mbili za maandamano ya kutaka mageuzi ya afya na elimu.