Kiongozi wa upinzani Patrick Herminie ashinda marudio ya ucaguzi wa urais Ushelisheli
Herminie anawakilisha chama cha United Seychelles, ambacho kiliongoza nchi hiyo kwa miongo minne kabla ya kupoteza mamlaka mwaka wa 2020. Kilikuwa chama tawala kutoka 1977 hadi 2020.