Viongozi wa Dunia wakutana Beijing kwa kongamano la kuwawezesha Wanawake
Rais wa China Xi Jinping na mkewe Peng Liyuan wamefungua rasmi mkutano wa Viongozi wa Dunia kuhusu Wanawake kwa kujumuika pamoja na viongozi kutoka maeneo mbalimbali ulimwenguni.