ZILIZOBAMBA MITANDAONI: Mtangazaji wa soka Ayubu Hinjo @hinjojr ausifu ubora wa nyota wa JKT Queens, Winfrida Gerald, ataja sababu zinazofanya nyota huyo kuonekana kuwa miongoni mwa wanaocheza faulo.
Nyota huyo aliwafunga Yanga Princess na jana aliwafunga Simba Queens kwenye michezo ya #NgaoYaJamii
Ni #Zilizobamba ya #Viwanjani
#Viwanjani