ZILIZOBAMBA MITANDAONI: Ahmed Ally ‘alishangilia’ Yanga Princess kupoteza mchezo wa nusu fainali ya #NgaoYaJamii Alhamisi ya Oktoba 9, 2025.
Ally Kamwe ashngilia Simba Queens kupoteza mbele ya haohao JKT Queens kwenye mchezo wa fainali.
Hii mtaani tunaiitaje….???
Ni #Zilizobamba ya #Viwanjani
#Viwanjani