Ikiwa leo Oktoba 13, 2025 dunia inaadhimisha Siku ya Kujikinga na Majanga, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewahimiza Watanzania kujenga utamaduni wa kujihami dhidi ya majanga kwa kufanya maandalizi thabiti ikiwemo ujenzi wa miundombinu ya barabara kwa ajili ya magari ya kutoa misaada, kuwa na vifaa vya kudhibiti moto katika maeneo muhimu ikiwemo makazi nakadhalika.
Kakuru Msimu kutoka Mbeya ameandaa taarifa ifuatayo kuhusu maadhimisho hayo.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi