Majalio Kyara anayegombea Urais kwa tiketi ya chama cha Sauti ya Umma (SAU) amesema endapo atafanikiwa kushinda nafasi hiyo atahakikisha anaboresha mitaala ya elimu ili iweze kuendana na mahitaji ya soko la ajira.
Kyara ametoa ahadi hiyo kwenye kampeni zake mkoani Manayara kama anavyoripoti Hellen Kawiche.
#AzamTVUpdates
Mhariri @moseskwindi