Mgombea ubunge wa jimbo la Kibamba Anjellah Kairuki ameahidi kushughulikia changamoto ya usafiri kwa wananchi wa jimbo hilo ikiwemo kupata ufumbuzi wa kuwekwa kwa taa za barabarani katika maeneo korofi sambamba na kupatika kwa njia ya daladala itakayoenda moja kwa moja kutoka katika jimbo hilo hadi katikati ya jiji la Dar es Salaam.
Esterbella Malisa amehudhuria kampeni za mgombea huyo.
Mhariri @moseskwindi