Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Gerson Msigwa amewahakikishia Watanzania amani na usalama siku ya kupiga kura na kuwataka wasikiliza sera za kila mgombea ili kuhakikisha wanachagua viongozi wenye vigezo na watakaotatua changamoto zao.

Aidha, Msigwa amesema Serikali imejiandaa vyema katika kuhakikisha ifikapo Oktoba 29 uchaguzi unafanyika na kuwataka Watanzania waachane na kauli za vitisho zinazotolewa.

#Azamtvupdates
✍ Warda John
Mhariri | @claud_jm

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *