Rasmi nchi ambayo sensa yake ya mwisho ya watu na makazi, jumla ya raia 527,326 imefuzu fainali ya kombe la Dunia 2026.
Sio wengine bali Cape Verde ni baada ya ushindi wa chuma tatu (3-0) usiku huu dhidi ya Eswatin na kufikisha pointi 23 ambazo haziwezi kufikiwa na timu yoyote.
Wameweka historia kwa mara ya kwanza kufuzu worldcup🙌🏿
Wametoboa kutoka kundi D
Cape Verde
Cameroon
Libya
Angola
Mauritius
Eswatin
Timu zilizofuzu hadi sasa kutoka Afrika..
Morocco
Tunisia
Algeria
Misri
Ghana
Cape Verde
Kufikia hapo zimebaki timu tatu kutoka makundi matatu kukamilisha orodha ya timu tisa kutoka Afrika.
MIPANGO MATHUBUTI INALIPA
#StarTvUpdate