“Nimeridhishwa na maandalizi na kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru na Kumbukizi ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere”Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
Waziri Mkuu Majaliwa amesema hayo leo Jumatatu, Oktoba 13 akikagua maandalizi kwa ajili ya hafla ya kilele hicho kinachotarajiwa kufanyika jijini Mbeya kesho Oktoba 14,2025.
#StarTvUpdate