Mgombea Urais wa chama cha ADA-TADEA Georges Bussungu ameahidi kuleta mabadiliko katika sekta ya uchumi na teknolojia endapo atashinda kiti cha Urais.

Amesongeza kuwa atafanikiwa katika hilo kwa kuhakikisha anaondoa mambo matatu ya upendeleo, rushwa na ufisadi.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *