KUTOKA GYMKHANA: Afisa Habari wa KMC, Khalid Chukuchuku amesema ujio wa Umoja wa Klabu Afrika (ACA) ni ukombozi kwa klabu zilizo...

KUTOKA GYMKHANA: Afisa Habari wa KMC, Khalid Chukuchuku amesema ujio wa Umoja wa Klabu Afrika (ACA) ni ukombozi kwa klabu zilizopo daraja la chini na kati.

Ni kwenye tukio maalumu kumhusu Rais wa Yanga SC, Hersi Said.

Kwa sasa Hersi ni Mwenyekiti wa Umoja wa Klabu Afrika (ACA) lakini pia hivi karibuni aliteuliwa kuwa Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya FIFA kwa ngazi ya klabu.

Tulikuwa LIVE #AzamSports1HD

(Imeandikwa na @allymufti_tz)

#Yangasc #HersiSaid #Hersi #Yanga #IamHersi #ACA #FIFA

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *