KUTOKA GYMKHANA: “Timu ya Taifa ni karibia asilimia zote tunaigharamia serikali”

KUTOKA GYMKHANA: “Timu ya Taifa ni karibia asilimia zote tunaigharamia serikali”
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema tangu kuingia madarakani kwa Rais Samia Suluhu Hassan, Timu ya Taifa ya Tanzania inagharamiwa na serikali karibu asilimia zote.

Ni kwenye tukio maalumu kumhusu Rais wa Yanga SC, Hersi Said.

Kwa sasa Hersi ni Mwenyekiti wa Umoja wa Klabu Afrika (ACA) lakini pia hivi karibuni aliteuliwa kuwa Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya FIFA kwa ngazi ya klabu.

Tulikuwa LIVE #AzamSports1HD

(Imeandikwa na @allymufti_tz)

#Yangasc #HersiSaid #Hersi #Yanga #IamHersi #ACA #FIFA

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *