NGODA AMPONGEZA ARAJIGA: “FIFA kumwamini Ahmed Arajiga imetengeneza kitu kikubwa katika kazi yake ya uamuzi”
Mtangazaji wa soka @ngodaalwatan ampongeza mwamuzi Mtanzania, Ahmed Arajiga ambaye jana Oktoba 13, 2025 alichezesha mchezo wa Kufuzu Kombe la Dunia kati ya Cape Verde na Eswatini.
Cape Verde imefanikiwa kufuzu michuano hiyo.
#Zilizobamba mitandaoni
#Viwanjani