MCHAMBUZI AIFANANISHA SIMBA NA AL AHLY: Tazama takwimu za Simba SC katika michuano ya kimataifa hasa wakiwa katika viwanja vya ugenini.
Mchambuzi wa soka @adrianojames_ anasem rekodi nzuri ya Simba ndio tabia ya timu kubwa Afrika kama vile Al Ahly na Pyramids.
Oktoba 19, 2025 Simba itakuwa ugenini nchini Eswatin kucheza dhidi ya Nsingizini kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika
Mechi itakuwa saa 10:00 jioni LIVE #AzamSports1HD
(Imeandikwa na @allymufti_tz)
#Viwanjani