AD
Benki Kuu ya Tanzania (BOT) imezindua Kikokotoo cha mikopo cha mtandaoni.
Kupitia Kikokotoo hiki, utakuwa na uwezo wa kukadiria kiwango cha marejesho ya kila mwezi na kuelewa viwango vya riba kwa mikopo unayochukua kutoka benki au taasisi za fedha.
Kikokotoo hiki kinapatikana kwenye tovuti ya BOT www.bot.go.tz au kupitia kiunganisho https://loan-calculator.bot.go.tz/