MASHAKA AWAPA USHINDI SIMBA DHIDI YA NSINGIZINI: “Watakapokwenda ugenini watapata matokeo mazuri”
Nyota wa zamani wa Simba SC, Mashaka Mashaka amesema bado vijana hao wa Msimbazi hawana muunganiko mzuri, lakini kwenye mechi dhidi ya Nsingizini ya Eswatini, watapata matokeo mazuri kwenye mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Wachezaji wengine waliozungumza ni pamoja na Quraish Ufunguo na Malota Soma
(Imeandikwa na @allymufti_tz)
#Simba