KUTOKA GYMKHANA: “Tarehe 16, mwezi wa tisa, tumeshapokea tayari dola laki moja”

KUTOKA GYMKHANA: “Tarehe 16, mwezi wa tisa, tumeshapokea tayari dola laki moja”
Maneno ya Makamu wa Rais wa Azam FC, Abdulkarim Amin ‘Popat’ akitaja kiasi cha fedha ambacho wao kama klabu wameanza kunufaika kupitia Umoja wa Klabu Afrika (ACA) inayoongozwa na Hersi Said.

Ni kwenye tukio maalumu kumhusu Rais wa Yanga SC, Hersi Said.

Kwa sasa Hersi ni Mwenyekiti wa Umoja wa Klabu Afrika (ACA) lakini pia hivi karibuni aliteuliwa kuwa Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya FIFA kwa ngazi ya klabu.

Tulikuwa LIVE #AzamSports1HD

(Imeandikwa na @allymufti_tz)

#Yangasc #HersiSaid #Hersi #Yanga #IamHersi #ACA #FIFA

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *