Mgombea Urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salim Mwalimu amesema iwapo ridhaa ya Watanzania kupitia sanduku la kura itampa mamlaka ya kuwa Rais wa Tanzania atahakikisha anafuata nyayo za falsafa za Baba wa Taifa Mwl. Julius Nyerere katika uongozi wake.
Mwalimu ametoa ahadi hiyo kwenye kampeni zake kama anavyoeleza Emmanuel Kalemba.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi