Kila mwaka ifikapo Oktoba 15, dunia huadhimisha siku ya kimataifa ya wanawake wanaoishi vijijini. Maadhimisho haya yanalenga kutambua mchango mkubwa wa wanawake wa vijijini katika nyanja mbalimbali, ikiwemo uchumi, uzalishaji wa chakula, na ujenzi wa jamii zinazojitegemea.

Wanawake wanaoishi vijijini wanasema siku hii ni muhimu kwao kwani inawapa nafasi ya kusikilizwa, kuthaminiwa, na kutambuliwa kutokana na juhudi zao za kila siku katika kuendeleza maisha ya familia na maendeleo ya taifa kwa ujumla. Wasikilize hapa.

#AzamTVUpdates
✍Alpha Jenipher
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *