MSHIKEMSHIKE: Pacome Zouzoua ni mchezaji wa kwanza kutoka NBC Premier League kuwa sehemu ya timu za taifa zilizofuzu Kombe la Dunia 2026. Una ushauri gani kwa mchezaji huyo anayekipiga Yanga SC.
Tuandikie maoni yako hapa na sisi tutayasoma kwenye kipindi cha Mshikemshike saa 3:00 usiku LIVE #AzamSports1HD
#Mshikemshike