UCHAMBUZI KUHUSU SIMBA: Mchambuzi wa soka @sharif_bayona anaichambua kwa kina mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) kati ya Nsingizini Hotspurs ya Eswatini
Mechi itapigwa Oktoba 19, 2025 saa 10:00 jioni kwa saa za Tanzania na itakuwa LIVE #AzamSports1HD
(Imeandikwa na @allymufti_tz)
#SimbaSC