Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Songwe imesema katika kipindi cha mwaka 2025 pekee imepokea zaidi ya watoto njiti 200 ambao wamepatiwa matibabu na wengine wakiendelea kupata huduma katika hospitali hiyo idadi ambayo inadaiwa kuashiria ukubwa wa tatizo hilo mkoani humo.
Taarifa hiyo imetolewa na mkuu wa idara ya watoto, Dkt. Antia Kakwale wakati wa hafla ya kupokea msaada wa mashine mbili za kuhudumia watoto njiti ziliotolewa na Taaasis ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU).
Joyce Lyanda ameandaa taarifa zaidi.
Mhariri @moseskwindi