Abiria zaidi ya 700 wa treni inayofanya safari kutoka Dar es Salaam kuelekea Kigoma kupitia reli ya kati wamekwama kwa zaidi ya saa 15 katika stesheni ya Dodoma.

Meneja wa stesheni hiyo, Festo Mgomapayo amesema kuwa hali hiyo imesababishwa na ajali ya treni ya matengenezo iliyotokea eneo la Kitinku.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *