Walimu wa masomo ya sayansi katika Mkoa wa Ruvuma wanapatiwa mafunzo maalum ili kuongeza maarifa yao katika ufundishaji wa masomo hayo.
Uamuzi huo umechukuliwa na viongozi wa mkoa huo kama sehemu ya mkakati wa kuboresha ufaulu wa masomo hayo.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi