KUHUSU KIFO CHA ODINGA: Mchezaji wa Gor Mahia Joshua Onyango anaelezea hali ilivyokuwa ndani ya kambi yao baada ya kupokea taarifa za kifo cha shabiki wao nambari moja Raila Odinga.
Odinga ambaye aliwahi kushika wadhfa wa uwaziri Mkuu wa Kenya, alikuwa shabiki, Rais na mdhamini wa Gor Mahia.
(Imeandikwa na @allymufti_tz)
#Odinga #RIPOdinga