KUHUSU PACOME: “Tunampa hongera Pacome pamoja na Timu yake ya Taifa ya Ivory Coast

KUHUSU PACOME: “Tunampa hongera Pacome pamoja na Timu yake ya Taifa ya Ivory Coast
Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga SC, Rogers Gumbo amesema kitendo cha mchezaji wao Pacome Zouzoua kuwa sehemu ya wachezaji ambao wameiwezesha Timu ya Taifa ya Ivory Coast Kufuzu Kombe la Dunia 2026, ni jambo la kujipongeza na uongozi umefurahi.

Pacome alikuwa sehemu ya wachezaji waliocheza jana kwenye mchezo dhidi ya Kenya na Ivory Coast kushinda magoli 3-0.

(Imeandikwa na @allymufti_tz)

#Yanga #Pacome

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *