#SportPesaLeague: Tazama kimbwanga hiki kilichomkuta mchezaji wa Posta Rangers, Eliud Lokuwam ambaye alinyanyuliwa juujuu na golikipa wa Shabana ili akatibiwe nje.
FT: Shabana 1-2 Posta Rangers
#FKFPremierLeague #LigiKuuKenya #SportPesaLeague #ShabanaVsPostaRangers #Shabana #PostaRangers