#SportPesaLeague: Tazama magoli yote matatu yaliyofungwa kwenye mchezo kati ya Shabana dhidi ya Posta Rangers

#SportPesaLeague: Tazama magoli yote matatu yaliyofungwa kwenye mchezo kati ya Shabana dhidi ya Posta Rangers.

Magoli yamefungwa na Brian Marita na Trevo Omondi kwa upande wa Posta Rangers.

Goli la Shabana limefungwa na Victor Omondi

FT: Shabana 1-2 Posta Rangers

#FKFPremierLeague #LigiKuuKenya #SportPesaLeague #ShabanaVsPostaRangers #Shabana #PostaRangers

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *