Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetoa ufafanuzi kuhusu hatma ya wapigakura zaidi ya 106,00 ambao walijiandikisha kupiga kura kwenye vituo 292 vilivyokuwa kwenye kata 10 zilizofutwa kutokana na marekebisho ya mipaka na maeneo ya utawala yaliyofanywa na Ofisi ya Rais TAMISEMI.

Mkurugenzi wa Uchaguzi Ramadhan Kailima ametoa ufafanuzi huo.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *