Rais wa Kenya, William Ruto ametangaza siku saba za maombolezo ya Kitaifa kufuatia kifo cha Waziri Mkuu Mstaafu, Raila Odinga kilichotokea nchini India.

Mbali ya siku hizo saba pia bendera zitapepea nusu mlingoti katika kipindi chote cha maombolezo ya Kitaifa.

Auleria Gabriel ana taarifa zaidi.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *