Mgombea Urais kupitia chama cha Democratic Party (DP), Abdul Mluya amewaahidi uzazi wa bure kwa wanawake sambamba na kupata chakula kwa miezi mitatu bure ili kuwasaidia kujenga afya zao.

Mluya ameongeza kuwa ataboresha maslahi ya watumishi wa umma kwa kuongeza mishahara.

Taarifa ifuatayo ina undani zaidi.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *