Salum Mwalim anayegombea Urais kutokea chama cha CHAUMMA ameahidi kuendeleza mipango ya uchakataji wa gesi kutoka mikoa ya Lindi na Mtwara ili kuongeza nafasi za ajira kwa wakazi wa mikoa hiyo.
Taarifa zaidi na Emmanuel Kalemba.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi