Kifo cha Raila Odinga, mechi saba Ligi Kuu ya Kenya za ahirishwa
Shirikisho la Soka la Kenya (FKF), limeahirisha mechi saba zilizokuwa zimepangwa kuchezwa wikiendi hii ikiwa ni kwa heshima ya Waziri Mkuu wa zamani, Raila Amolo Odinga, aliyefariki dunia leo…