SIMBA SAFARINI: Kikosi cha Mnyama Simba kimeshawasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam tayari kuianza safari ya kwenda Eswatini kupitia Afrika Kusini.
Ni safari ya kuifuata Nsingizini Hotspurs katika mtanange wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) utakaopigwa Oktoba 19, 2025.
Mechi hiyo itachezwa saa 10:00 jioni na itakuwa LIVE #AzamSports2HD
(Imeandikwa na @allymufti_tz)
#SimbaSC #SimbaSafarini