YANGA SAFARINI: Tazama kikosi cha Yanga SC kilivyofika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam mapema leo tayari kwenda Malawi kuifuata Silver Strikers.
#YangaSC #CAFCL