Mamia ya wananchi wamekusanyika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta, Nairobi kwa ajili ya kuupokea mwili wa Waziri Mkuu mstaafu wa Kenya, Raila Odinga aliyefariki dunia jana akipatiwa matibabu nchini India.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi