ZILIZOBAMBA MITANDAONI: Mtangazaji wa soka @ngodaalwatan asimulia namna alivyokuwa anamfuatilia nyota mpya wa Simba Mohamed Bajaber raia wa Kenya ambaye jana alionekana kurejea katika kiwanja cha mazoezi akiungana na wenzake.
Simba ataja kikosi cha wachezaji waliosafiri nao kwenda Eswatini kupambana na Nsingizini Hotspurs.
Ni #Zilizobamba mitandaoni ya #Viwanjani
#Viwanjani