KMKM vs AZAM FC: “Tusije tukawadharau KMKM”
Tahadhari ikitolewa na mmoja wa mashabiki wa Azam FC, kuhusu mchezo wao Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji wao KMKM.
Shabiki huyo ametoa wito kwa mashabiki wa Azam FCM, kwenda Zanzibar kuiunga mkono timu yao ili kuimaliza mechi mapema.
Mechi hiyo itapigwa Oktoba 18, 2025 saa 10:15 jioni LIVE #AzamSports4HD
(Imeandikwa na @allymufti_tz)
#CAFCC #AzamFC