Chama cha NLD kimeahidi kupunguza posho za wabunge na badala yake fedha hizo zitaelekezwa katika kuongeza huduma za afya pamoja na kupandisha mishahara ya kada ya ualimu na askari.
Ahadi hiyo imetolewa na mgombea Urais wa chama hicho Doyo Hassan Doyo wakati akizungumza na wakazi wa Kibamba, Dar es Salaam.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi