Mgombea Urais kupitia Chama Cha Kijamii (CCK), David Mwaijojele ameahidi kufufua viwanda vilivyositisha uzalishaji katika mkoa wa Tanga sambamba na kuboresha miundombinu ya barabara.
Mwaijojele ametoa ahadi hizo wakati akizungumza na wananchi wa mkoa huo katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya stendi ya Pangani.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi