MSHIKEMSHIKE: Unaiweka wapi nafasi ya timu tano za Tanzania, Simba SC, Yanga SC, Azam FC, KMKM na Singida Black Stars kufuzu hatua ya makundi CAF?
Tuandikie maoni yako hapa na sisi tutayasoma kwenye kipindi cha Mshikemshike kuanzia saa 3:00 usiku LIVE #AzamSports1HD
#Mshikemshike