Mwili wa Waziri Mkuu mstaafu wa Kenya, marehemu Raila Odinga umeagwa kitaifa leo na kuhudhuriwa na watu mbalimbali wakiongozwa na Rais William Ruto.

Tukio hilo limefanyika katika Uwanja wa Kitaifa wa Nyayo, Nairobi, huku vilio na huzuni vikitawala baada ya mwili wa marehemu Raila kuwasili uwanjani.

#AzamTVPdates
Mhariri : John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *